alt text

A-Power Capsule


Viungo:

Fructus Hippophae, Herba Anoectochilus, Ganoderma, Radix Ginseng, Folium Camelia

A-Power Capsule

Kazi na Faida zake:

  1. Kuzuia na kutibu kansa, ikitumika na dawa nyingine za kutibu kansa


Inafaa Kutumika Kwa:



Maelezo Muhimu:

Tabia Ya Kuzuia Kansa Ya Sea Buckthorn:
Mmea wa Fructus Hippophae ujulikanao pia kwa jina la Sea Buckthorn, una mchanganyiko wa viungo vinavyofanya kazi mwilini kama vitamin C, carotenoids,

carcinoma ya ziwa

catechin, gallocatechin, epigallocatechin, flavonoids na tindikali ya ursolic, ambayo kwa kiwango kikubwa sana huzuia ukuaji wa uvimbe katika mwili.

Tafiti mbalimbali za tiba zimeonyesha kuwa mmea huo wa Sea Buckthorn una mafanikio makubwa katika kuzuia na kuponya kansa za carcinoma, lymphoma na leukemia. Mmea huo umeonyesha tabia ya kuua mara moja seli za binadamu za leukemia (human leukemia cell line K562) na seli za kansa za tumbo (human gastric cancer cell line 7901).

Kiongeza Kinga (Kinga Za Seli Na Majimaji Ya Mwilini)
Fructus Hippophae huamsha aina ya chembechembe nyeupe za damu (macrophages) ili zidake na kumeng'enya mabaki ya seli na wadudu waletao maradhi mwilini (pathogens). Vile vile huamsha lymphocytes na aina nyingine ya seli za kinga ambazo huua vijidudu vya maradhi.
Kiujumla inaongeza kinga za mwili kwa kiasi kikubwa sana.

HIV/UKIMWI:

ugonjwa wa ukimwi

HIV ni kirusi anayeua au kuharibu seli za kinga za mwili. UKIMWI ni hali ya kukosa kinga za mwili za kutosha iliyotokana na sababu za maambukizi. UKIMWI ni hali ya juu kabisa ya kuwa na maambukizi ya HIV. HIV mara nyingi huenezwa na ngono zembe na mtu aliyeathirika. HIV inaweza pia kuambukiza kwa kuchangia vifaa vya kutobolea mwili na sindano au kwa kugusa damu ya mtu aliyeathirika. Wanawake wanaweza kuwaambukiza watoto wao wakati wa ujauzito au wakati wa kuzaa.
Dalili za mwanzo za kuambukizwa na UKIMWI ni kuvimba kwa tezi na kuwa na mafua. Hivi vinaweza kutokea na kutoweka mwezi mmoja au miwili baada ya kupata maambukizi. Dalili mbaya zinaweza zisitokee hadi baada ya miezi kadhaa au miaka. Kipimo cha damu kinaweza kuonyesha kama mtu ameshaambukizwa virusi vya HIV au la. Hakuna tiba ya UKIMWI, lakini kuna dawa nyingi na hatua mbadala za kuchukua ili kujikinga na maambukizi ya HIV na kansa zinazoambatana na maambukizi hayo. Watu wanaweza kuishi na maambukiza kwa miaka mingi.
Kidonge cha A-Power chenye uwingi wa viungo asilia vya mimea kinaweza kuongeza kinga za mwili kwa kiwango kikubwa, kugundua seli za uvimbe, na kuboresha kwa ujumla afya ya watu wenye HIV/UKIMWI.

.

A-Power



<<<<< MWANZO